Siku ya Jana Accounts Mbali mbali Maarufu za Instagram zimeshinda zikipost kuwa Lulu michael amerudi instagram kwa jina la lizymichael Baada ya Kujitoa siku Secky alipofariki Dunia Baada ya watu kuanza kumuhusisha lulu na Kifo Hicho kitu ambacho hakikuwa Kweli ....
Baadhi ya Meseji huku instagram kuhusu kurudi kwa lulu Insta hizi Hapa:
lulunation_ Lulu amerudi instagram asante Mungu kwa yote account yake org ni @lizymichael
@lizymichael @lizymichael
@lizymichael
@lizymichael
follow 13h
sephoramwakalinga Karibu swthrt..saiz kua na moyo km wa jambaz @lizymichael hao shain wasikupe shida coz hakuna jipya chini ya jua, ishi utakavyo...hao machokoraa wanaojiropokea acha waendelee kujifurahisha coz hawawez kua wewe. 11h
proudoflulumichael Mungu amekuchaguwa wewe ili uwakomboee na wengine @lizymichael @lizymichael ...
proudoflulumichael She is Back again my Queen Lizy now you can follow her .Her new account is @lizymichael @lizymichael @lizymichael @lizymichael ..Wellcome baq
Loading...
Home » Unlabelled » Mwigizaji Lulu Michael Arudi Tena Instagram Baada ya Kujitoa siku ya Kifo cha Secky
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA11 hours ago
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA11 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment