Ubishi wa nani mkali kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi umefika mbali sana na watu wachambuzi wengi wanaendelea kulichambua hili swala kwenye angle mbalimbali.
Hizi ni takwimu nyingine zikionyesha kwamba Cristiano Ronaldo ametupia kambani kwenye magoli kwenye miji yote aliyocheza. Ufupi ni kwamba hakuna timua ambayo haijaonja machungu ya magoli ya Cristiano kama ameingia uwanjani.
Messi bado ana timu sita za kuzifunga ili afikie level hii ya Cristiano Ronaldo. Hii hapa ni graphical presentation ikionyesha kuhusu hizi takwimu.
on Thursday, April 16, 2015
Post a Comment