Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WATU 5 WAFARIKI SOUTH AFRICA


Wageni 5 zaidi wameuawa huko Durban
Watu watano zaidi wameuawa katika mashambulizi ya kibaguzi katika mji wa Durban nchini Africa Kusini.Doria za maafisa wa polisi zimeimarishwa dhidi ya mashambulizi zaidi ya maduka yanayomilikiwa na wahamiaji kutoka mataifa mengine ya afrika.Raia wa kigeni wamekimbilia usalama katika vituo vya polisi
Wengi wamelazimika kuhamia katika makaazi ya mda ,huku Malawi ikiripoti kuwaondoa raia wake ambao wameachwa bila makao.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameshtumu mashambulizi hayo na kubuni kamati ya kujaribu kurejesha hali ya usalama.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top