Aunty ameshare habari hiyo na mashabiki wake wa Instagram:
“Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.Ahsante Mungu wang kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena Ahsante kwa zawadi hii kubwa ktk Maisha kwani ilikuwa ni kipindi kigumu chenye majaribu ya kila aina kupitia binaadamu wajizaniao wao ni miungu watu Bac endelea kunyoosha mkono wako ktk paji la kiumbe wako ukiwa kama kinga nami niwe kivuli tuu juu yake Amen Whn Jesus Say Yes Ni body can Say wht!!!!!!!Wlcm Baby Cookie wlcm 2 da world KIBOKO YANG…”
Baba na mama Cookie
Diamond ambaye ni uncle wa Cookie pia amempongeza Aunty na Mose kupitia Instagram:
“Hongera sana @auntyezekiel na @Moseiyobo kwa kupata Mtoto wa kike… unataka kujua na jina anaitwa nani????…anaitwa #Cookie yaani inatamkwa #Kuki maana hamkawii kumuharibu jina na kumuita #Kookie @naytrueboy Njoo uone Mafundi washapata Mtoto kiulaiiiiiiiiini.”
Post a Comment