Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.
Aunty Lulu amelieleza gazeti la Risasi Jumamosi kuwa wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka mapenzi kinyume na maumbile baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata mara moja,” alilieleza gazeti hilo.
Post a Comment