Diamond Plutnumz alikwenda mwanza kufanya show ya jembeka festival
ila mapokezi yake yali dhihirisha kuwa msanii huyu ni mtu wawatu kama
unamchukulia poa tazama picha zote hapa!!
MAPOKEZI YA DIAMOND YALIKUWA HIVI
UNAAMBIWA AKIENDA KUFANYA SOUND CHEK TAYARI WALIKU WAWANAMNGOJEA
BODA BODA WALIAMUA KUMSINDIKIZA MTU WA WATU
SOUND CHECK SHOW BADO
DONE AKISEMA NA WATU WAKE
Posted by Boss Ngasa
Post a Comment