Jaman why mtu anaamua kujibadilisha namna hii au kabisaaa hali yake halisi ikibidi hata jinsia yake?? pichan ni ndugu yetu anapenda kujiita @zamochambo lakini majina yake halisi ni Zahara Mohamed Chambo.
Tatizo langu ni kwamba ukimuita dada mtagombana kabisa au atakupiga mkwara ila ukimuita kaka anaitikia na mnakuwa marafiki.... anaonekana mrembo ambaye angepata mume na kujaliwa na watoto wazuri.
Ila nachopenda kutoka kwake ni mchapakazi, msanii mzuri wa filamu, producer pia mpiga picha mzuri sana.
Ila bado swali langu liko pale pale, wataalamu wa saikolojia au wanaoelewa mambo haya nisaidieni. Najaribu kuwaza unazaa mtoto wako wa kike mzuri....then baadae unasikia ni mwanaume. Au mwanao wa kiume akiwa mkubwa anasema ye mwanamke.
Tumezoea kuona kwa wazungu ila kwetu pia yapo...na tufanye tuwasaidie watoto wetu.
Usimcheke au kumtukana tujue sababu na huenda tukajifunza kitu
By Mrekebishatabia on Istagram
Post a Comment