Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo, Jumamosi, Mei 23, 2015
amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,
Mheshimiwa Seif Shariff Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha
Wananchi (CUF) katika Ikulu Ndogo, Dodoma. Rais Kikwete akimwaga
Mheshimiwa Hamad baada ya kumalizika kwa kikao hicho.
Picha na John Lukuwi, Maelezo.
Post a Comment