Fainali ya Shindano za Tuzo za Watu limefanyika jana mei 22,2105 na washindi kwa kila kipengele ni kama ifuatvyo.
Mtangazaji wa redio anayependwa- D’Jaro Arungu – TBC FM.
Kipindi cha redio kinachopendwa- Papaso – TBC FM.
Mtangazaji wa runinga anayependwa– Salim Kikeke (BBC Swahili)
Kipindi cha runinga kinachopendwa- Mkasi (EATV)
Blog/Website inayopendwa- millardayo.com
Muongozaji wa video anayependwa- Hanscana
Muongozaji wa filamu anayependwa- Vincent ‘Ray’ Kigosi
Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa- Wema Sepetu
Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa- Hemedy PHD
Mwanamuziki wa kike anayependwa- Lady Jaydee
Mwanamuziki wa kiume anayependwa- Ali Kiba
Filamu inayopendwa- Kigodoro
Video ya muziki inayopendwa
Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz.
Post a Comment