Jamani
tubaki njia kuu!!! demu mmoja nchini kenya ameripotiwa kutembea na
wanaume zaidi ya 300 wakati anajua kabisa ni muathirika wa ukimwi. Demu
huyo aliamua kuchukua uamuzi huo mgumu kama njia ya kulipiza kisasi kwa
wanaume baada ya yeye kufanya mapenzi yasiyo salama na mwanaume
yaliyopelekea kuambukizwa ukimwi.Mwanafunzi
huyu kutoka Karabak University katika jiji la Nakuru aliamua kufunguka
kupitia facebook na kusema “nimesikia watu mkisambaza kashfa. Mimi nina
kashfa kubwa zaidi nataka kuisema.” gazeti la daily post nchini kenya
liliripoti.Mwanafunzi
huyu aliliambia gazeti la daily post la kenya kwamba ana miaka 19 tu kwasasa, na alikua ni bikira mpaka siku alipoenda club usiku na watu wa miaka ya juu hapo chuoni kwake. Alipoamka aligundua mmoja wa watu hao alifanya nae mapenzi bila ya yeye kujua sababu alikua amelewa kupita kiasi.
huyu aliliambia gazeti la daily post la kenya kwamba ana miaka 19 tu kwasasa, na alikua ni bikira mpaka siku alipoenda club usiku na watu wa miaka ya juu hapo chuoni kwake. Alipoamka aligundua mmoja wa watu hao alifanya nae mapenzi bila ya yeye kujua sababu alikua amelewa kupita kiasi.
“nilimuuliza
kama alitumia kondom, akasema ndio , sema nilivyoenda kuoga niliona
shahawa zake ndipo nilipogundua ulikua ni uongo. nilitamani kujiu kwa
kuhofia mimba na ukimwi juu”
Baada ya ushauri kutoka kwa watu
mbalimbali basi msichana huyu alinyanyuka na kuanza maisha mapya .
“nilikubaliana na hali niliyokua nayo na kujiwekea nadhiri ya kuwatesa
wanaume watakaojileta mbele yangu ”
“Najua mimi ni mtu ninayevutia na
wanaume kibao wananifukuzia kushoto , kulia. Nikazika upande wangu mzuri
ndipo hapo nilipogeukia upande mbaya. Kusudio langu lilikua kuambukiza
ukimwi wanaumengi wengi kadiri inavyowezekana”
Mwanafunzi huyu amesema kwamba
ameweka list ya wanaume aliowaambukiza ukimwi na ataitoa siku
atakayozikwa. “Najua sina cha kufanya tena hapa duniani zaidi ya
kusubiri kifo changu lakini kabla sijaenda kaburini wanaume wengi
watanielewa”
Dada huyu amesema amewaambukiza
ukimwi wanaume 324, 156 wakiwa ni wanafunzi wa Kabarak University
alipokua anasoma.Waliobaki ni wanaume walioolewa, ma-lectures ,
ma-lawyers , watu maarufu na wanasiasa. Amesema Kusudio lake ni
kuambukiza wanaume 2000 katika nchi za Afrika Mashariki. Gazeti la
Kenyan Daily Post liliripoti.
“siku haipiti bila kufanya mapenzi. Wakiwa wengi ni watu wanne kwa siku. ” mrembo huyu aliendelea kufunguka.
“Hakuna kitu kitakachonizuia mimi
kutimiza malengo yangu kwa kuendelea kulala na wanaume.Huwezi kujua
inawezekana umeshalala na mimi, au kama sio wewe ni kaka yako , au mme
wako , au rafiki yako, au baba yako tayari ameshalala na mimi”
“siku yako itafika. wewe mwanaume umeharibu maisha yangu sasa ni wakati na mimi niharibu maisha yako” alimalizia mrembo huyu.
Gazeti la Kenyan Daily Post lilisema
halitataja jina la msichana huyu japokua waliweka picha zake kutoka
kwenye ukurasa wake wa facebook



Post a Comment