Stori zilizo zagaa mtaani ni kuwa wawili hawa( Diamond na Zari ) wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini picha hii imeibua hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wa mastaa hawa.
Kundi
kubwa kubwa linawalaumu wasanii hawa kwa kupiga picha kama
hii huku likidai ni kumdhalilisha mtoto aliyeko tumboni.
Aunt Ezekiel aliwahi piga picha kama hii nakujikuta akioga mvua ya matusi toka kwa mashabiki wake.
2 comments
dogo jirekebishe hii siyo kabisa ,huu si utamaduni wetu kuiga kumezidi buni yako inayoendana na utamaduni wako,napenda sana kazi kazi zako ila matukio kama haya yanaweza kukupunguzia thamani yako .mambo mengine uwe unamuuliza mama yako
Replymuulize mama yako kabla uja ya post mtandaoni,maana mama yako atakushauri ukweli ,kuliko mtu mwingine
ReplyPost a Comment