Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS SHEIN ASHIRIKI KWENYE BARAZA LA IDD EL FITRI BWAWANI




id1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa Mkono wa Iddi kwa wananchi mbali mbali waliofika  viwanja vya Ikulu mjini Unguja leo katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri,[Picha na Ikulu.]
id2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi na Mashekhe waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kwa madhumuni ya kupokea mkono wa Idd na kusoma Dua katika Sikukuu ya Idd el Fitri inayoadhimishwa Duniani kote,[Picha na Ikulu.]
id3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya gwaride maalum la kikosi cha Polisi FFU leo wakati wa Baraza la Idd katika Kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri, Sherehe za Baraza Idd lilifanyika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
id5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za Baraza la Iddi el Fitri zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama bwawani Hotel Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]
id6
Baadhi ya Wake wa Viongozi na wananchi mbali mbali wakisikiliza hutuba ya Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo katika kusherehekea Sikukuu ya Idd elFitri katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
id9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) akijumuika na Viongozi na waislamu mbali mbali katika swala ya Suna ya Idd el Fitri iliyoswaliwa kitaifa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top