 |
Meneja
Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,Pascal Shelutete
akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari
waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla
iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza. |
 |
Baadhi ya wageni waalikwa katia hafla hiyo. |
 |
Mkurugenzi
wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika
hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari
nchini. |
 |
Mkuwa
wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Baraka Konisaga akizungumza kwa
niaba ya mkuu wa mkoa wa Mwanza wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa
Wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi. |
 |
Mgeni
rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu
akizungumza wakai wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi wa Tuzo
zitolewazo na TANAPA kwa wanahabari. |
 |
Mkuu
wa Majaji walioshiriki kupatikana kwa washindi wa tuzo zitolewazo na
TANAPA kwa wanahabari,Dkt Ayoub Ryoba akizungumza katika hafla hiyo. |
 |
Dkt Ryoba akitambulisha majaji wenzake walioshiriki katika kupata washindi. |
 |
Mgeni
Rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu
akitoa ,Ngao,Vyeti pamoja na mfano wa Hundi kwa washindi wa tuzo za
TANAPA 2014 zitolewazo kwa wanahabari. |
 |
Mkuu
wa Majeshi Mstaafu,Meja Jenerali ,Mirisho Sarakikya akizungumza katika
hafla hiyo zaii akizungumzia historia ya namna alivyoshiriki zoezi la
kupanda Mlima Kilimanjaro zaidi ya mara 38. |
 |
Mgeni
Rasmi katika Hafla hiyo,Lazaro Nyalandu ,akitunuku tuzo kwa Meja
Jenerali,Mirisho Sarakikya pamoja na kitambulisho maalumu ambacho
kitamuwezesha kuingia bila malipo katika hifadhi 16 za Taifa. |
 |
Meja Jenerali ,Sarakikya akifurahia zawadi hiyo iliyotolewa na TANAPA. |
 |
Mwandishi wa Habari wa Channel ten Cassius Mdami akizungumza kwa niaba ya washindi wa tuzo hizo. |
 |
Mgeni rasmi ,Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na washindi. |
 |
Mgeni rasmi ,Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na wahariri katika vyombo mbalimbali vya habari. |
 |
Mgeni rasmi ,Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari walioshiriki katika hafla hiyo. |
on Thursday, July 2, 2015
Post a Comment