Loading...
Home » Unlabelled » DUH:ONA HAWA WAMACHINGA, BODABODA NA MAMA NTILIE WAKIMCHANGIA LOWASSA HELA ZA KAMPENI
DUH:ONA HAWA WAMACHINGA, BODABODA NA MAMA NTILIE WAKIMCHANGIA LOWASSA HELA ZA KAMPENI
Hivi ndivyo ilivyokuwa jana Ndg. Edward N Lowassa alivyokuwa akizungumza na wananchi wa jiji la dar es salaam hususani machinga, bodaboda na mamantilie baadae waliamua kumchangia pesa kwa ajili ya kufanyia kampeni, nimekuwekea hapa picha hizo akichangiwa. leo hii atakuwa jangwani katika uzinduzi rasmi wa kampeni ya vyama vinavyounda katiba ya wananchi UKAWA
BLOG RAFIKI
-
-
-
Kwa Undani7 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-



Post a Comment