Mwanamitindo Flaviana Matata na Deogratius Massawe baada ya kufunga pingu za maisha jana.
Massawe akimbusu mkewe.
Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa katika pozi na mumewe Deogratius Massawe.…
Mwanamitindo Flaviana Matata na Deogratius Massawe baada ya kufunga pingu za maisha jana.
Massawe akimbusu mkewe.
Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa katika pozi na mumewe Deogratius Massawe.
MWANAMITINDO
Flaviana Matata jana alifunga ndoa na Deogratius Massawe katika Kanisa
la St. Joseph lililopo jijini Dar. Ndoa hiyo ilifuatiwa na sherehe
zilizofanyika katika Hoteli ya Serena, Dar.
Post a Comment