SIMUTV:
Kuwepo wa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini kwaelezwa kuwa
chanzo kikubwa cha ongezeko la vitendo vya kuhalifu nchini.http://youtu.be/A_FNnv_5zj4
SIMUTV:
Ongezeko la wagonjwa wa Malaria na UTI kwa wananchi waishio vijijini na
uchache wa madakatari kwa elezwa kuwa moja ya sababu kubwa zinazo
chazngia wananchi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadihttp://youtu.be/ FP22nE0Y3CE
SIMUTV:
Takribani vijiji 32 wilayani Kilombero Mkoani Morogoro vinatarajiwa
kunufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini ulioko chini ya TASAF.http://youtu.be/bnhu6AFaEjI
SIMUTV:
Kisomo cha watu wazima bado kinakabiliwa na changamoto kufuatia baadhi
ya watu kuhisi aibu kusoma masomo yanayosomwa na watoto au wajukuu zao.http://youtu.be/C528dlOHXNU
SIMUTV:
Wizara ya kazi na ajira yaanziasha mfuko maalum wa fidia kwa
wafanyakazi ambao utachangiwa na waajiri bila kukata mshahara wa
mwajiriwa.http://youtu.be/OOMAfpbh530
SIMUTV: Mgombea Uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli aihakikishia halimashauri kuu ya chama hicho NEC kuwa ushindi kwao ni lazima. http://youtu.be/06flZ0f3TCA
SIMUTV:
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC,yatangaza kusongezwa mbele ratiba
ya ukaguzi wa daftari la wapiga kura kwa mkoa wa Dar es salaam.http://youtu.be/2HEg_ Qj9RaI
SIMUTV:
Watanzania waishio nje ya nchini Diaspora, watakiwa kuwekeza katika
miradi mbalimbali ya maendeleo nchini ili kukuza uchumi wa taifa. http://youtu.be/i7Ybft_vuCk
SIMUTV:
Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaendesha mdahalo juu ya umuhimu wa maadili
katika kuhimarisha amani,umoja na haki kuelekea uchaguzi mkuu.http://youtu.be/ninEjtEbfqc
SIMUTV:
Wakazi wa jiji la Dar es salaam huenda wakaondokana na adha ya usafiri
baada ya kutangaza kuzinduliwa kwa mabasi ya mwendo kasi hapo kesho.http://youtu.be/ wvTMCZD4Wiw
SIMUTV:
Wananchi wa Kigoma wailalamikia serikali kwa kushindwa kuifanyia
ukarabati wa meli ya Mv Liemba kufuatia uchakavu wa melio hiyo. http://youtu.be/ZycesnasCh0
SIMUTV:
Umoja wa Wanajeshi wastaafu wa JWTZ mkoa wa Manyara waiomba serikali
ngazi ya mkoa kuwataka viongozi wa ngazi za chini kuacha kuwanyanganya
mali zao pindi washindwapo kuchangia michango mbalimbali katika meneo
wanayo ishi.http://youtu.be/ lZPet5s9LB8
SIMUTV:
Wakazi wa Gongo la Mboto waondokana na adha ya umeme iliyodumu kwa wiki
moja baada ya kukosa huduma hiyo na kusababisha adha.http://youtu.be/ wIqXpfiwzfE
SIMUTV:
Waziri wa nishati na madini Simbachawene,amuagiza kamishina wa madini
nchini kufanya ukaguzi wa migodi ya Tanzanite ili kubaini wachimbaji
wanaokwepa kodi http://youtu.be/sLydhDu5sR0
SIMUTV:
Katika kuadhimisha siku ya unyonyeshaji nchini,jamii yatakiwa
kuhakikisha akina mama wanapatiwa lishe bora wakiwa wajawazito na mara
baada ya kujifungua.http://youtu.be/ SJcqdWw9KQk
Post a Comment