|
Mgombea
Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akikabidhiwa fomu za kuwania
ubunge katika jimbo la hilo na msiamizi wa Uchaguzi ,Furgence Mponji
ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri hiyo. |
|
Mgombea
wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akitia saini
katika kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisi za msimamizi wa
Uchaguzi katika jimbo hilo ambaye ni mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya
ya Moshi. |
|
Mgombea
Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akikabidhiwa fomu za kuwania
ubunge katika jimbo la hilo na msiamizi wa Uchaguzi ,Furgence Mponji
ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri hiyo. |
|
Mgombra
Ubunge wa jimbo la unjo kupitia chama cha Mapinduzi,Innocent Shirima
akionesha fomu zake za kuwania Ubunge katika jimbo hilo. |
|
Mgombea
Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shrima akiwa na makada
waliomsindikiza wakatialipofika ofisi za msimamizi wa uchaguzi kwa ajili
ya kuchukua fomu.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Knada ya
Kaskazini. |
on Thursday, August 20, 2015
Post a Comment