Muigizaji
wa bongo movies Irene Uwoya aliyejiunga na ccm na kuchaguliwa kuwa
mbunge wa viti maalum tabora yupo hatarini kupoteza cheo chake cha
ubunge wa viti maalum na huenda wabunge viti maalum wengi sana wa ccm
nao wataachia ngazi.
Mbunge viti maalum aliechaguliwa kwa sasa ataingia mjengoni mpaka ifikapo oktoba baad ya kampeni na uchaguzi ambapo kila
jimbo
litapata mbunge(sio wa viti maalum) wake ambapo hawa wabunge wa viti
maalum waliochaguliwa saizi italazimu idadi yao ilingane sawa na idadi
ya wabunge wawakilishi wa majimbo wa vyama vyao, mfano kwa ccm mwaka
2010 kabla ya kampeni walikuwa na wabunge viti maalum 92 ila baada ya
kampeni na uchaguzi ilipata wabunge 60, kutokana na kupoteza majimbo
mengi hivyo ikabidi idadi ya wabunge wa ccm wa viti maalum ipungue toka
92 hadi 60, na wakati wao ccm waliandaa wabunge 92 wa viti maalum
wakijua watapata majimbo mengi , matokeo yake ikabidi chama kiwapunguze
hadi 60 na baada ya hapo nafas zilizobsaki 22 za wabunge viti maalum
wakapewa chadema.
Kwa sasa ni wazi kabisa tembo yupo shambani ambayeaneyejifanya hamuoni aende mahututi, kwa upepo huu wa siasa
ni
wazi kabisa ukawa, act na vyama vingine watachukua majimbo mengi sana
kwenye nafasi za ubunge(sio ule wa viti maalum), hivy basi endapo CCM
itapata wabunge kwenye majimbo machache asilimia hiyo ya wabunge itabidi
ilingane na wabungewataopitishwa kwenda kuwakilisha majimbo kwa nafasi
za viti maalum na kukilazimu chama kukata wabunge viti maalum wawe
wachache.
Loading...
Post a Comment