Mkurugenzi
wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto),
ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na
Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati
akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto),
ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza
Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati
akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto),
ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akikabidhi
nyaraka za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi
mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya NEC jijini
Dar es Salaam.
on Sunday, August 16, 2015
Post a Comment