Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LINAH AFUNGUKA KUHUSU MATUSI MTANDAONI!..MSIKIE HAPA

 

Gabriel Ng’osha
MPENZI msomaji wa safu hii ya Dukuduku, leo ninaye msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Esterlina Sanga ‘Linah’ akisikitika na kuumia hasa pale anapotolewa au kusikia mtu akitoa matusi, iwe kwenye mitandao ya kijamii au ana kwa ana.
“Huwa naumia sana napotukanwa mimi au mtu mwingine, iwe kwenye mitandao ya kijamii, simu, au ana kwa ana, sipendi matusi, nawashauri wenye tabia hii wabadilike, mseme mtu lakini usimtukane,” alisema Linah.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top