Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Man City yaifundisha soka Chelsea

during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.

Kocha wa klabu ya Manchester City Manuel Pellegrini bado ana endeleza harakati zake za kusaka taji la Ligi Kuu Uingereza linaloshikiliwa na klabu ya Chelsea kama bingwa mtetezi, August 16 timu hizo zimekutana na kucheza mchezo ambao umevuta hisia za walio wengi katika Uwanja wa Man City Etihad.

mc-ch
Bado hali sio nzuri kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Uingereza Chelsea, August 16 Man City imevunja rekodi ya Chelsea kwani katika mechi zake 28 zilizopita za Ligi Kuu Uingereza Chelsea haijawahi kupoteza mchezo hata mmoja ila goli la dakika ya 31 la  mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero lilianza kuikatisha tamaa Chelsea.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
Mchezo umemalizika kwa klabu ya Man City kuibuka na ushindi wa jumla ya goli 3-0 magoli ya kifungwa na Sergio Aguero dakika ya 31, Vicent Kompany dakika ya 79 na goli la mwisho likifungwa na Fernandinho dakika ya 85, hii ni wiki ya tatu mfululizo Chelsea kutopata matokeo mazuri kwani ilifungwa na Arsenal katika mechi ya Ngao ya Hisani baada ya hapo ikafuatia sare ya goli 2-2 na Swansea City.
Hizi ni picha za mechi mtu wangu
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
during the Barclays Premier League match between Manchester City and Chelsea at the Etihad Stadium on August 16, 2015 in Manchester, England.
Generated by  IJG JPEG Library
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top