![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdD7c9GH8mGsFGM0IfJS5REUuy8_W7EZ5C9IIP5ygPJafnML8WqXZ_kakivUX0djfQK3xJeYlEM2aXLlVPZlLiWNmjWTZ0vwUnuzjgFc4oyqiaQ6kCgJmYUCpA7mudeaYeKT_3bnpI7EFl/s1600/MMGL0316.jpg) |
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akimkabidhi, Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, nyaraka mbalimbali zitakazotumika wakati
wa Kampeni, kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam leo Agosti
21, 2015. Kushoto ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni.
|
|
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzJ1fZ6SXIgBaxBT_dR8DZQNoTK04DEQMPn1Q9GdmqBwE2KE2rBO5grV79ZASqFpSQM2zxzwHdezu1l2vNv64cExUpDh6BpxtnVC0htUBUAKDUbZCHo2NgxoBXD8IGexe2UUYuozd2nEaa/s1600/MMGL0259.jpg) |
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akizungumza mara
baada ya kupokea Fomu zilizorudishwa na Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni
baada ya kukamilisha mchakato wa kutafuta wadhamini katika Mikoa 10 ya
Tanzania na kutimiza masharti yote ya Uchaguzi, leo Agosti 21,
2015 kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNEjrtWADcns5z80gytTvVjY0nfNlSnPHKKaxsYIkzvmX8dVcjHTfVPoTUwUq-Iil25ojC81Fa769DDcfV8JhIGvLDM-fHOT0Cp8c9m2bcQ0COYuvBqlLtOhcEhbWPuwTuqAyKKGY8-MSM/s1600/MMGL0335.jpg) |
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa rasmi na
Tume ya Uchaguzi kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 21, 2015 kwenye Ofisi
za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam. Pembeni yake ni Mgombea Mweza wake,
Dkt. Juma Haji Duni. |
on Saturday, August 22, 2015
Post a Comment