Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu
Hassan, Mgombea mwenza wa ugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala
Dkt John Pombe Magufuli leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam
:Mgombea
Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam.
Meza
Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe
Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika
ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti
wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na Mgombea Urais kwa
tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuongea na wazee
wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.

wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Mwenyekiti
wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na Mgombea Urais kwa
tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuongea na wazee
wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Meza
Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe
Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika
ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU
Post a Comment