Rais
Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe,
Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla iliyofanyika leo
Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakayta Kikwete akimkabidhi nyaraka za kazi Balozi Mpya wa Tanzania
nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala katika hafla
iliyofanyika leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania
nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya
kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa
Vyombo vya Ulinzi pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe
Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya kumuapisha
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Agosti 21, 2015.
Rais
Jakaya Kikwete akibadilisha mawazo na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya baada
ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Wengine pichani ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue.
Viongozi
waandamizi wa Vyombo vya Ulinzi wakibadilishana mawazo wakati wa hafla
ya kumuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jerenali
Charles Lawrence Makakala, leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA.
Post a Comment