Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rose Muhando matatani


MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Zephania Simoni ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Uratibu alisema wameingia hasara ya Sh milioni 4.3 kutokana na tamasha hilo kuvurugika baada ya kutapeliwa na Muhando.
Alifafanua kuwa tayari walikuwa wameishamkabidhi kiasi cha Sh 1,700,000 muimbaji huyo na ameshindwa kufika na hivyo kuonesha wazi kuwa amewatapeli
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top