SIMUtv:
Kada wa Chama cha CCK Dr. Jofrey Malisa amechukua fomu ya Urais katika
ofisi za NEC mapema Leo akiahidi kufanya kampeni za uhuru http://youtu.be/Wtbt5OZvfx0
SIMUtv:
Hatimaye mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Mh. Edward Lowassa
anatarajia kuchukua fomu ya Urais siku ya Jumatatu akianzia ofisi za
CUF. http://youtu.be/u8xYyGPXyT4
SIMUtv:
Wanachama wa CCM Mkoa wa Rukwa wavamia ofisi za Chama hicho na kubwaga
vitu nje kwa madai kuwa Mgombea wao amekatwa kura za maoni. http://youtu.be/fsQoQC1-pBo
SIMUtv:
Kiongozi mkuu wa ACT Zitto Kabwe amesema suala la Richmond lisitumike
kisiasa alipofanya mkutano wa hadhara Mkoani Morogoro. http://youtu.be/gqvDKHHf2p8
SIMUtv: Wakulima wa Mpunga Mkoani Mbeya wakili kunufaika na elimu ya kilimo iliyotolewa na Maafisa ugani Mkoani humo. http://youtu.be/deMsxw2FZsw
SIMUtv:
Wachimbaji wadogo wa madini Mkoani Singida waiomba serikali kuwapa
ruzuku ili kufanya kazi kisasa zaidi na kupunguza utegemezi. http://youtu.be/rgoJ3VRbY6w
SIMUtv: Baada ya sintofaham ya Prof. Lipumba kutokomea kusikojulikana hatimaye vyombo vya habari vyammulika aliko. http://youtu.be/XOSq0a0FMgk
SIMUtv: Rais Kikwete asema Kilimo kina kabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo ukosefu wa masoko kwa wakulima http://youtu.be/hu-GYMl7LmQ
SIMUtv:
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda amesema serikali ni lazima iwainue
Wakulima wadogo kwa kuwapa pembejeo na teknolojia za kisasa. http://youtu.be/ZYFU1EvyjM0
SIMUtv:
Katibu wa uenezi CCM Nnape Nnauye amewataka Wanachama wa chama hicho
kuwasilisha malalamiko yao juu ya kura za maoni katika ngazi husika. http://youtu.be/lBqO34xM_Eo
SIMUtv: Kufuatia tamko la madereva kufanya mgomo hapo kesho, serikali imejitokeza na kufanya mazungumzo ya kumaliza kero zao. http://youtu.be/m0qTwxQ57lM
SIMUtv:
Makamu wa Rais wa pili wa Zanzibar Baloz Seif Idd ameyataka maonyesho
ya nanenane kuwa ya kimataifa ili kuendeleza sekta ya Kilimo. http://youtu.be/sBcIvfb53_k
SIMUtv:
Mamia ya Wanawake wa Kanisa la Baptist Nchini wakusanyika na kufanya
maandamano pamoja na maombi ya kuliombea amani Taiafa. http://youtu.be/7Pe6sKAL0D4
SIMUtv:
Jeshi la polisi Mkoani Morogoro linawashikilia walinzi wawili na meneja
wao kwa tuhuma za kutumia magogo kama bunduki katika kufanya kazi za
ulinzi. http://youtu.be/5x47ITcyhyU
SIMUtv:
TANAPA imesema magonjwa ya milipuko kama ebola, vita vya wenyewe kwa
wenyewe pamoja na ugaidi vimesababisha kupungua kwa Watalii. http://youtu.be/0Hmp2pOw050
Shirika la petrol Nchini TPDC laanza kusafirisha gesi kutoa Mtwara kwenda Dar es salaam http://youtu.be/Q6p4zzt0v2M
SIMUtv: Ligi kuu ya England yaanza kutimua vumbi leo huku Kocha wa Chelsea Jose Mournho akisaini mkataba mpya mpaka 2019 http://youtu.be/BkWWnb6P4rU
SIMUtv:
Vijana wenye ndoto za kucheza soka la kulipwa Duniani wasema Academya
ya Karume ni sehemu sahihi kwao katika mafanikio. http://youtu.be/ocRrYyvcCOU



Post a Comment