SIMUtv:
Ugonjwa wa kipindupindu walikumba jiji la Dar es salaam wawili
wamefariki leo na zaidi ya 20 wamelazwa katika hospitali za Mwanayamala
na Sinza. https://youtu.be/z6nx2aH82dE
SIMUtv:
Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue asema ukosefu wa ajira kwa vijana
nchini husababbishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa ujuzi kwa ajira
zinazohitajika. https://youtu.be/czwDLaAldYg
SIMUtv:
Kamati kuu ya CCM yakutana jijini Dar es salaam kukamilisha kiporo cha
utezi wa wagombea wa ubunge katika majimbo 11 yaliyobainika kukabiliwa
na dosari mbalimbali. http://youtu.be/n4rrG3-BtmA
SIMUtv:
Katibu tawala wa mkoa wa Kigoma DK John Ndunguru aagiza wataalam wa
ngazi zote kusimamia kikamilifu sheria za mazingira na kanuni zake na
sio kufanya kazi kwa mazoea. https://youtu.be/OIsZh63CQcc
SIMUtv:
Serikali yasema mgogoro wa madini kati ya kampuni ya Tanzania One na
wachimbaji wadogo katika machimbo ya Tanzanite Mererani utapatiwa
ufumbuzi wa kwa kutumia sheria zilizopo. https://youtu.be/paKqBvEPpbo
SIMUtv:
Wakulima washauriwa kutumia mbolea ya maji iliyotengenezwa kwa
virutubisho asili vinavyopatikana aridhini na kutokua na athari kwa
mazingira.https://youtu.be/ENU3nIqqpek
SIMUtv:
Hali ya upatikanaji ya usafiri wa anga kwa wakazi wa kanda ya ziwa
waongezeka baada ya shirika la ndege nchini ATCL kurejesha safari zake
kati ya Dar es salaam na Mwanza. https://youtu.be/48n9dzQBHVY
SIMUtv:
Serikali kupitia BASATA yafungulia shindano la Miss Tanzania baada ya
waandaaji wa shindano hilo kukidhi vigezo vinavyotakiwa kufwata.https://youtu.be/mfn6_gq7fMg
SIMUtv:
wachezaji wanne wa timu ya riadha ya taifa wameondoka nchini kuelekea
China kushiriki mashindano ya riadha ya dunia yatakayo anza siku ya
jumamosi.https://youtu.be/I5prtErJy5s
SIMUtv:
Serikali yasema ujenzi wa uwanja wa Uhuru waendelea vizuri na hivi
karibuni unaweza kukamilika na tayari kwa kuanza kutumiwa tena. https://youtu.be/CNDXBSP-LXk
SIMUtv:
Mabingwa wa soka nchini Yanga yakamilisha usajili wa beki kisiki wa
timu ya taifa Togo Vicent Bousuu kwa mkataba wa miaka 2. https://youtu.be/xUgfvCOzVbs
SIMUtv: Meli ya MV Serengeti imeshindwa kutia nanga kwa saa 5 katika bandari ya Bukoba kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa. http://youtu.be/KAZg6x0jdhI
SIMUtv:
Kwa mara ya kwanza serikali ya Tanzania yazindua mafunzo ya madereva wa
mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi Jijini Dar es salaam. http://youtu.be/i19oKJWszXg
Post a Comment