Askofu
Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha
kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu
Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo
wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais
Edward Lowassa.
Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.
Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.
Post a Comment