Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Ibrahim
Al-Najem kuhusu masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Kuwait na Tanzania.
Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es
Salaam leo.
Balozi wa Kuwait
nchini, Jasem Ibrahim Al-Najem (kulia) akizungumza
na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kuhusu masuala mbalimbali
ya ushirikiano kati ya Kuwait na
Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini
Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Post a Comment