Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Breaking News: Waziri Celina Kombani afariki dunia



Taarifa zilizotufikia muda huu kwenye chumba chetu cha habari ni kwamba Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani amefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa hizo zimesema Waziri Kombani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia chama cha Mapinduzi, mwili wake utawasili nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu

Mtandao huu unatoa pole kwa familia ya marehemu na taifa kwa ujumla kwa msiba huu uliowapata

Taarifa zaidi za msiba huo zitakujia hapa hapa

huu ndio wasifu wake


MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
SalutationHon.Member picture
First Name:Celina
Middle Name:Ompeshi
Last Name:Kombani
Member Type:Elected Member
Constituent:Ulanga Mashariki
Political Party:Chama Cha Mapinduzi
Office Location:P.O.Box 9050, Dar es Salaam
Office Phone:+255 787 330 211Office Fax:
Office E-mail:ckombani@parliament.go.tz
Member Status:Active
Date of Birth19 June 1959
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Kwiro Primary SchoolCPEE19681975Primary School
Kilakala Secondary SchoolCSEE19751978Secondary School
Tabora Girls' Secondary SchoolACSEE19791981Secondary School
Institute of Development Management, MzumbeB.A (Public Administration)19821985Bachelor
Mzumbe UniversityM.A in Public Administration19941995Masters Degree
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFromTo
Prime Minister's Office (Regional Admin & Local Govt.)Minister5/12/20082010
Ministry of Justice and Constitutional AffairsMinister2010Todate
The Parliament of TanzaniaMember - Ulanga West Constituency20102015
Prime Minister's Office (Regional Admin & Local Govt.)Deputy Minister20065/12/2008
Sokoine University of AgriculturePrincipal Administration Officer19952005
Morogoro Canvas MillManager19941995
Kilosa District CouncilOfficer19851992
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi - CCMUWT Chairperson (Morogoro District)20022005
Chama Cha Mapinduzi - CCMUWT Implementation Committee Member - Kilosa1987199
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top