Naibu
waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameonesha
kushangazwa na mfanano wa vichwa vya habari vya magazeti ya leo kuhusu
mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.Makamba
ambaye ni mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, ameonesha kurasa za mbele
za magazeti ya Mtanzania, Mwananchi na Tanzania Daima zilizokuwa na
vichwa vya habari vinavyomnukuu
Lowassa akitaka watanzania wasiogope.
Amepost picha za magazeti hayo kwenye twitter na kuhoji kama mfanano huo ni bahati mbaya au imeratibiwa.


Post a Comment