|
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwasalimia wananchi wa Kigoma Kusini, waliokuwa wamefurika kwenye
Uwanja wa Nguruka Kati, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika leo Septemba 4, 2015.Picha na Othman Michuzi, Kigoma.
|
|
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika
mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, katika
Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, leo Septemba 4, 2015.Picha na Othman Michuzi, Kigoma. |
|
Baadhi ya wananchi wa Mji wa Kigoma Kusini, wakionyesha furaha yako kwa Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa,wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, leo Septemba 4, 2015.Picha na Othman Michuzi, Kigoma.
|
|
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akikaribishwa na Mwenyeji wake, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma
Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David
Kafulila, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Nguruka Kati,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4,
2015.Katikati ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe. Picha na
Othman Michuzi, Kigoma.
|
|
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akipokea saluti kutoka kwa Askari Polisi, wakati alipowasili kwa
Helkopta, kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Jimbo la Kigoma Kusini,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015.
Picha na Othman Michuzi, Kigoma. |
on Friday, September 4, 2015
Post a Comment