Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akitembelea kuelekea kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara za Kampeni
, iliyokuwepo kwenye Uwanja wa Ndege wa Mpanda, alipokuwa akielekea Mkoani Kigoma kuendelea na ziara zake ya Kampeni, leo Septemba 4, 2015.
, iliyokuwepo kwenye Uwanja wa Ndege wa Mpanda, alipokuwa akielekea Mkoani Kigoma kuendelea na ziara zake ya Kampeni, leo Septemba 4, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akipokea saluti kutoka kwa Askari Polisi, wakati alipowasili kwa
Helkopta, kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015.

Post a Comment