Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Nd,Mwinyiussi Hassan Abdalla kuwa Mkuu wa Wilaya
Magharibi A Unguja katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Mwinyiussi
Hassan Abdallabaada ya kumuaapisha kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A
katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]


Post a Comment