RAIS
Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akizindua kampeni maalumu ya
kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana
usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Kushuto ni Katibu Mkuu wa
Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi
ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.
RAIS
Jakaya Kikwete, akizndua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na
vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya
Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na
Utalii, Lazaro Nyalandu. Kushuto ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii,
Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania
(TTB), Devota Mdachi.

WAJASIRIAMALI na wadau wa utamaduni walikuwepo katika kunogesha uzinduzi huo, ambapo vitu mbalimbali vya utamaduni ziliuzwa.
WAZIRI
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu Waziri wa Maliasili
na Utalii, Mahamoud Mgimwa, wakifuatia kwa makini uzinduzi wa mkakati
huo
NGOMA ya watanashati au Wazee wa Mnanda walikuwepo kutoa burudani kwa wageni.
RAIS
Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk.
Adelhme Meru, wakishangilia baada ya uzinduzi wa tangazo hilo.

Post a Comment