Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR


2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi fedha tasilim Shilingi za Kitanzania Millioni mbili Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha wakati  aliporejesha fomu  za kugombea Urais  wa Zanzibar   katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja leo,
6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi fedha tasilim Shilingi za Kitanzania Millioni mbili Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha wakati  aliporejesha fomu  za kugombea Urais  wa Zanzibar   katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja
  4 
   Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi walioshuhudia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein ,akirejesha fomu  za kugombea Urais  wa Zanzibar kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha  katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top