Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimtambulisha Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli ndani ya
uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli ndani ya
uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Umati wa maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza walifika kuhudhuria uwanja wa CCM kirumba katika hitimisho la Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea machache mtambulisha ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimnadi Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wa pili kutoka kulia, Mgombea Mwenza Mama Samia Hassan Suluhu na wagombea ubunge wa majimbo ya Ilemela Anjela Mabula wa kwanza kushoto na Stanslaus Mabula Nyamagana wa tatu kutoka kushoto
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimnadi Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wa pili kutoka kulia,na wagombea ubunge wa majimbo ya Ilemela Anjela Mabula wa kwanza kushoto na Stanslaus Mabula Nyamagana wa tatu kutoka kushoto.
Umati wa maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza wakifuatilia kufungwa kampeni za chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

akiwanadi wagombea ubunge wa Mwanza.Kulia ni mgombea wa Ubunge wa jimbo
la Nyamagana Stanslaus Mabula na mgombea wa Ubunge wa jimbo la Ilemela
Anjela Mabula.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiburudika na Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli pamoja
na wanakibajaji ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa
hitimisho la kampeni.
Umati wa maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza wakifuatilia kufungwa kampeni za chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mgombea Mwenza Mama Samia Suhulu, akipokelewa ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Wanakibajaji nao hawakuwa nyuma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimia na Kada wa CCM, Wema Sepetu ndani ya uwanja wa CCM Kirumba
jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Makada
wa CCM, Steve Nyerere na Wema wepetu wakiongea ndani ya uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Kazi ni Kazi.... Asha bokooooo akionyesha umahili wa kupiga PUSH UPS....
Asha boko katika ubora wake.
Wema Sepetu katika ubora wake.
Rais ni Magufuli.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea machache mtambulisha ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Ujumbe!
Mgombea
wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli akitoa sera zake kwa wananchi
waliofika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati ufungaji wa
kampeni.
Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli akiwa na mgombea wa Ubunge wa jimbo la Nyamagana L. Mabula.
Umati
wa maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza walifika kuhudhuria uwanja wa
CCM kirumba katika hitimisho la Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

CCM kirumba katika hitimisho la Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli akiingia uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati ufungaji wa kampeni.
Mgombea
wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli akisindikizwa kuingia uwanja
wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati ufungaji wa kampeni.
Mgombea
mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimia
wananchi wakati akiingia ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
wakati ufungaji wa kampeni.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiingia uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati ufungaji wa kampeni.
Post a Comment