Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia
wananchi wa Busanda, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Mnadani, Katika Mji wa Katoro, Mkoani Geita leo Oktoba 13,
2015.
Wazee
wa Kabila la Wasukuma wa Mkoa wa Geita, waliongozwa na Mzee Petro
Manyema (mwenye kipaza sauti) wakimsimika Mgombea Urais wa Tanzania kwa
tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, kuwa Kiongozi wa Kabila la Wasukuma,
wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani,
Katika Mji wa Katoro, Mkoani Geita leo Oktoba 13, 2015.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Busanda kwa tiketi ya Chadema, Alphonce Mawazo,
akiwahutubia wananchi wa Busanda, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Mnadani, Katika Mji wa Katoro, Mkoani Geita leo Oktoba
13, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia
wananchi wa Mji wa Geita, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Magereza, Mkoani Geita leo Oktoba 13, 2015.
Mwanasiasa
Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, akihutubia wananchi,
katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Magereza, Mjini
Geita leo Oktoba 13, 2015.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Geita waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Magereza, wakati
wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh.
Edward Lowassa, leo Oktoba 13, 2015.
CHANZO OTHMANI MICHUZI
Post a Comment