Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akionyesha waandishi wa
habari leo (hawapo pichani) kitabu cha maadili ya uchaguzi
kilichosainiwa na viongozi wa vyama vya siasa waliosimamisha wagombea
katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25.
Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo Mkuu wa Jeshi hilo IGP Ernest Mangu amesema kuwa ulinzi utaimarishwa maeneo yote kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha kuwa taifa linapita salama katika kipindi hiki cha kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo ya uchaguzi.
Ametoa rai kwa wananchi kujitokeza kupiga kura siku hiyo bila wasiwasi wa aina yoyote ili kuweza kutumia haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi.
(Picha na Francis Dande)
Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo Mkuu wa Jeshi hilo IGP Ernest Mangu amesema kuwa ulinzi utaimarishwa maeneo yote kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha kuwa taifa linapita salama katika kipindi hiki cha kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo ya uchaguzi.
Ametoa rai kwa wananchi kujitokeza kupiga kura siku hiyo bila wasiwasi wa aina yoyote ili kuweza kutumia haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi.
(Picha na Francis Dande)
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akionyesha waandishi wa
habari (hawapo pichani) kitabu cha maadili ya uchaguzi kilichosainiwa na
viongozi wa vyama vya siasa waliosimamisha wagombea katika uchaguzi
mkuu utakaofanyika Oktoba 25 ambapo amewataka watu wote kutii sheria
bila shuruti wakati wa uchaguzi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akifafan jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
Post a Comment