Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Freeman Mbowe wakiongea na wanaanchi wa
Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Freeman Mbowe akiongea na wananchi wa Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward
Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa
Shule ya Msingi Tunduma katika mjini wa Tunduma mkoani Mbeya
Post a Comment