Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Bunju A.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Ghalib Bilal kabla ya kuhutubia wakazi wa Kawe waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Kawe.
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wakazi wa Kawe wakiwa juuu ya paa la nyumba wakati wa mkutano CCM wa kumnadi
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kawe kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wananchi wa Kawe wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kawe Kippi Warioba kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika viwanja vya Bunju A.
Post a Comment