Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. MOhammed Gharib Bilal,
akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, mkoani Iringa
wakati wa mkutano wa Kampeni za mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Mohamed
Mgimwa, uliofanyika juzi Okt 17.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Jimbo la Mufindi Kaskazini,
Mkoani Iringa wakati alipowasili Jimboni hapo juzi Okt 17, 2015 kwaajili
ya kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo hilo, Mohamed Mgimwa.
Post a Comment