Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoa kitambaa
kuweka jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa kuzalisha Umeme kwa njia ya
Upepo katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani Singida jana Oct 06,
2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti
kwenye eneo la uwekezaji wa mradi wa kuzalisha umeme kwa njia ya upepo
katika kijiji cha Irawo Inyamikumi Mkoani Singida baada ya kuweka jiwe
la msingi uzinduzi wa mradi huo jana Oct 06,2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia
wananchi kwenye ghafla ya uwekaji wa jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa
kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo Mkoani Singida, ghafla hiyo
ilifanyika jana Oct 06, 2015 katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi Mkoani
Singida.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kati kati akiwa
katika picha ya pamoja na watendaji wa kampuni ya Wind East Afrika Group
wakati wa ghafla ya uwekaji jiwe la msingi uzinduzi wa mradi wa
kuzalisha Umeme kwa njia ya Upepo katika kijiji cha Irawo Unyamikumbi
Mkoani Singida jana Oct 06,2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na
baadhi ya wawekezaji wa kampuni ya Wind East Africa Group inayozalisha
umeme unaotumia nguvu za upepo baada ya kuweka jiwe la msingi uzinduzi
wa mradi huo jana Oct 06, 2015 katika kijiji cha Irawo Inyamikumi Mkoani
Singida.
(Picha na OMR)
Post a Comment