Meya
wa Manispaa ya Kinondoni anayemaliza muda wake, Yusuph Mwenda (wa pili
kushoto) akifuatilia kwa makini matukio ya sherehe hizo sambamba na
watendaji.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni anayemaliza muda wake, Yusuph Mwenda akicheza
muziki na vijana wa kundi la muziki la Sholo Mwamba wakati wa sherehe za
uzinduzi wa uzio wa kisasa wa Shule ya Msingi Mikocheni A sambamba na
kuwaaga rasmi wakazi wa Kata hiyo baada ya kumaliza kuwatumikia.
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni anayemaliza muda wake, Yusuph Mwenda
akiwahutubia wakazi wa Kata ya Mikocheni A wakati wa sherehe za uzinduzi
wa uzio wa kisasa wa Shule ya Msingi Mikocheni A sambamba na kuwaaga
wakazi hao, mwishoni mwa wiki.
Vijana wa timu za Kata hiyo wakichuana katika bonanza la sherehe hizo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Tunda Man akitumbuiza katika bonanza la sherehe hizo.
Mwimbaji
wa nyimbo za mipasho, Isha Mashauzi akitumbuiza katika bonanza la
sherehe za uzinduzi wa uzio wa kisasa wa Shule ya Msingi Mikocheni A,
Manispaa ya Kinondoni mwishoni mwa wiki.
(PICHA ZOTE NA MPIGAPICHA WETU)
Post a Comment