Mgombea
urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif
Sharif Hamad, tayari amepiga kura yake kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba
Na. 13.
Tofauti na ilivyokuwa kwa mgombea Urais wa CCM, Dr Shein, Maalim yeye amedai kwamba kura yake ni siri yake lakini ana matumaini ya ushindi wa asilimia 72.

Post a Comment