|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
(kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino
nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya, Mhe. Bayani V. Mangibin.
Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. |
|
Balozi Mangibin akizaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam |
|
Balozi
Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula (kushoto) mara
baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Rais Jakaya Kikwete
(katikati mwenye tai nyekundu) |
|
Balozi
Mangibin (kulia) akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na
Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Bw. Khatibu Makenga (wa kwanza kushoto) alipokuwa akitambulishwa na Mhe.
Rais. |
|
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kushoto)
akisalimiana na Balozi Mangibin (kulia). |
|
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mangibin. |
|
Picha ya pamoja
=========Balozi wa Singapore |
|
Balozi
wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. Tan Puay Hiang akisaini kitabu cha
wageni mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake
za Utambulisho kwa Mhe. Rais. |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
(kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore
mwenye kazi yake nchini Singapore, Mhe. Tan Puay Hiang (kulia) |
|
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Liberatta Mulamula (kushoto) akisalimiana na Balozi Tan Puay Hiang
(kulia) |
|
Mhe.
Rais Kikwete akizungumza na Balozi Hiang mara baada ya kupokea hati
zake za utambulisho kama Balozi mpya wa Singapore hapa nchini. Kushoto
ni Afisa aliyefuatana na Balozi Hiang. |
.......Balozi wa Misri
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Misri hapa nchini, Mhe.
Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. |
|
Mhe. Rais Kikwete akimkaribisha Balozi Elshawaf. |
|
Mhe.
Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Elshawaf, Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. |
|
Balozi
Elshawaf akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Samwel Shelukindo |
|
Balozi
Elshawaf akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali
katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
|
Picha ya pamoja |
|
Mhe. Rais Kikwete akiwa kwenye mazungumzo na Balozi mpya wa Misri hapa nchini Mhe. Elshawaf |
|
Mazungumzo yakiendelea
......Balozi wa Israel
|
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Balozi mpya wa Israel hapa nchini mwenye Makazi yake
nchini Kenya, Mhe. Yahel Vilan mara baada ya kupokea Hati zake za
utambulisho. Hafla hiyo imefanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 28
Oktoba, 2015. |
|
Mhe.
Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Vilan, Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. |
|
Balozi
Vilan akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati
katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Elibariki
Maleko. |
|
Balozi
Vilan akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali
katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi
Kasiga |
|
Balozi Vilan akisalimiana na Bw. Batholomeo Jungu, Afisa Mambo ya Nje |
|
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Vilan |
|
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Vilan na Balozi Mulamula |
|
Balozi
Elshawaf (katikati) akipokea heshima ya wimbo wa taifa mara baada ya
kuwasili Ikulu. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage na kushoto
Mnikulu. |
|
Bendi ya polisi ikipiga wimbo wa taifa wa Misri kwa heshima ya Balozi Elshawaf |
|
Balozi Elshawaf akisalimiana na Bw. Celestine Kakele, Afisa Mambo ya Nje |
|
Balozi Elshawaf akisalimiana na Kiongozi wa Bendi ya Polisi. Picha na Reginald Philip
|
on Wednesday, October 28, 2015
Post a Comment