Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua kitambaa katika jiwe
la msingi kuzindua rasmi mtambo wa kufua umeme kutokana na Gesi Asilia
huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam.Mradi huo umejengwa kwa gharama ya
shilingi bilioni 400.Kushoto ni mwakilishi wa benki ya African
Development Bank(ADB) Bi Tonia Kandiero na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa
TANESCO Bwana Felchesmi Mramba.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa kufua umeme kutokana na
gesi asilia muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo huko Kinyerezi jijini
Dar es Salaam leo.
(Picha na Freddy Maro)
(Picha na Freddy Maro)
Post a Comment