Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye
Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.tayari kwa
Mkutano wa Kampeni.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akiwasalimia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi
kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, leo
Oktoba 12, 2015.
Mwanasiasa
Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, akiwasalimia wananchi,
katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya
Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12,
2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi
kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo
Oktoba 12, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa
akikumbatiana na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale
Mwiru, wakati alipowajili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo
Oktoba 12, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa
akiteta jambo na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale
Mwiru, wakati alipowajili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo
Oktoba 12, 2015.
Wananchi
wa Jiji la Mwanza wakiitikia salam ya "Mabadilikoooo" katika Mkutano wa
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha
Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12,
2015.
Meneja wa Kampeni za Chadema, John Mrema akiongoza Mkutano huo leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Juma Duni Haji,
akiwasalimia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa
akisalimia na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, katika Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo
Oktoba 12, 2015.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Nyamagana kwa tiketi ya Chadema, Hainesy Kiria
akihutubia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi
kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo
Oktoba 12, 2015.
Mwenyekiti
mwenza wa UKAWA ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR - Mageuzi,
James Mbatia akiwahutubia wananchi huku akiitumia rasimu ya Katiba
Inayopendekezwa, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
Credit: othman michuzi
Post a Comment