Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Temba mwimbaji wa Bongo Fleva kutoka Mkubwa na Wanae alifanya Birthday party yake Novemba 11, 2015 akawaalika watu mbalimbali wakiwemo Ma Dj na wasanii wenzake.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo la Birthday party.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Kushoto ni Temba, Mkubwa Fella na Chege)
.Mkurugenzi wa Mkubwa na wanae na Yamoto Band Said Fella.
.
.
.Yamoto Band wakitoa burudani ya nguvu
.
.Chege na Temba wakitoa burudani ya nguvu
.Mshindi wa BSS 2015, Kayumba akiimba kwa hisia
.Temba akimlisha keki Chege
.
.Temba akimlisha keki producer Dunga
.
.
.
.Temba akimlisha keki mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae, Said Fella
Credit: Millard ayo
Post a Comment