Promota
wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Jay Msangi akishirikiana na
waombolezaji wengine kubeba jeneza la marehemu Michael Yombayomba wakati
wa safari ya kuelekea kwenye mazishi yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani
jana.
|
Waombolezaji wakielekea mazikoni.
|
Mtoto wa marehemi Michael Yombayomba, Zakaria Yombayomba akiwasha mshumaa katika kaburi la baba yake.Picha na SUPER D BOXING NEWS
|
Post a Comment